Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hali ambazo unalazimika kukubali kuhusu maisha:
• Watu hubadilika.
• Mapenzi hayadumu.
• Si kila mtu atakupenda.
• Pesa huja na kuondoka.
• Marafiki huja na kuondoka.
• Kila mtu ana matatizo yake.
• Una ndoto sawa, ila Sio kila kitu utakipata maishani.
• Watu hubadilika.
• Mapenzi hayadumu.
• Si kila mtu atakupenda.
• Pesa huja na kuondoka.
• Marafiki huja na kuondoka.
• Kila mtu ana matatizo yake.
• Una ndoto sawa, ila Sio kila kitu utakipata maishani.