Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hali ambazo unalazimika kukubali kuhusu maisha:

• Watu hubadilika.
• Mapenzi hayadumu.
• Si kila mtu atakupenda.
• Pesa huja na kuondoka.
• Marafiki huja na kuondoka.
• Kila mtu ana matatizo yake.
• Una ndoto sawa, ila Sio kila kitu utakipata maishani.
 
Ukiaminiwa kuzijua aibu za mtu umebebeshwa mzigo mzito. Ukiaminiwa kutunza siri za mtu umekula kiapo cha utii. Hata mkigombana na mtu aliyewahi kukuamini, bado unawajibika kumsitiri na kuheshimu faragha yake vinginevyo unakuwa msaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…