moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Maisha ni mzunguko wa furaha, huzuni, nyakati ngumu na nyakati nzuri. Ikiwa unapitia nyakati ngumu, Usikate tamaa kuwa na imani kwamba nyakati nzuri zinakuja.
Unaweza kuandika nukuu za Motivation kadri unavyoweza lakini maisha haya ya sasa yanahitaji pesa