myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Utakachokifanya leo ndicho kitakacholeta matokeo kesho. Maisha hayana njia za mkato.” - Michael Jordan
✔️✔️Utakachokifanya leo ndicho kitakacholeta matokeo kesho. Maisha hayana njia za mkato.” - Michael Jordan
Maisha ni kama bahari yenye mawimbi yasiyotulia. Wakati mwingine utavuliwa mbali na upepo wa majaribu, lakini kumbuka, ndani ya kila wimbi kuna funzo, na ndani ya kila safari kuna mwanga wa matumaini.
SawaMaisha huwa magumu zaidi unapotarajia makubwa kutoka watu na kidogo kutoka kwako. Maisha yanakuwa nafuu kidogo unapotarajia mengi kutoka kwako na machache kutoka kwa watu. Viwango vya juu, matarajio madogo
Maisha ni kama bahari yenye mawimbi yasiyotulia. Wakati mwingine utavuliwa mbali na upepo wa majaribu, lakini kumbuka, ndani ya kila wimbi kuna funzo, na ndani ya kila safari kuna mwanga wa matumaini.
Mtu aki kulazimisha uchukie mtu kwa sababu yake, anataka moyo wako utawaliwe na hasira zisizo zako
NakubalianaTunaishi kwenye nyakati ambazo ukweli huonekana chuki, na uongo hupewa heshima.
Na hili pia NakubalianaImani ni kuona mwanga hata wakati wa giza na maombi huleta amani hata kabla ya majibu,Mungu huchelewa kujibu maombi si kana kwamba kasahau bali husubiri wakati unaofaa
SawasawaUsipojifunza nidhamu kwa hiyari maisha yatakufunza kwa Lazima
SawasawaTunaishi kwenye nyakati ambazo ukweli huonekana chuki, na uongo hupewa heshima.
NAKUBALIImani ni kuona mwanga hata wakati wa giza na maombi huleta amani hata kabla ya majibu,Mungu huchelewa kujibu maombi si kana kwamba kasahau bali husubiri wakati unaofaa
AiseeJapokuwa tunapambana na maisha, kuna wakati tunapaswa kujipongeza maana kila hatua ni ushindi unaostahili heshima.
NAKUBALIJifunze kuwaheshimu wanaojiheshimu na kukuheshimu na kamwe usifanye jambo kwa mazoea.
Kila Asubuhi ni zawadi mpya, chagua kuanza kwa maombi, tabasamu, tumaini, bidii na imani kuwa ndio siku yako itakayoleta mafanikio makubwa.
Usipoteze Muda Mwingi kuthibitisha kwa Watu kuwa Una Thamani. Thibitisha kwa Nafsi Yako kwanza, kisha Acha Matunda Yako Yaongee Bila kelele.

Kuna baadhi ya fursa zimejificha kwa wale watu ambao huwa unawadharau na kuwaona hawawezi kukusaidia chochote kile katika maisha yak