Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ujumbe muhimu sana
Moyo wako ndio hazina kubwa uliyopewa na Mungu. Kila siku unapoamka, usiishi tu kwa ajili ya kupumua na kula, bali ishi kwa kusudi. Kuwa mtu anayegusa maisha ya wengine kwa wema, anayejifunza kwa kila changamoto, na anayesimama imara hata upepo wa maisha unapovuma.
 
📌📌📌
Maisha Ni Safari Ambayo Haijirudii,Kila Siku Tunayoipokea Ni Ukurasa Mpya Wa Kitabu Chetu.Leo Ni Nafasi Ya Kujenga Ndoto Zako,Kusamehe Yaliyopita Na Kupanda Mbegu Za Kesho.Usiruhusu Siku Hii Ipite Bila Kufanya Jambo Dogo Litakaloacha Alama Kwenye Maisha Yako Au Maisha Ya Wengine.
 
👍👍👍

SAWASAWA

Hii ni muhimu
Una Uwezo Wa Kufanya Zaidi Ya Unavyofikiria,Kuwaza,Kufanya Au Kuwa Kwa Sasa.Unaweza Kuwa Chochote Unachotaka Kuwa,Ikiwa Tu Utaamini Kwa Imani Ya Kutosha Na Kutenda Kulingana Na Imani Yako;Kwa Maana Chochote Ambacho Akili Inaweza Kufikiria Na Kuamini,Inaweza Kukipata
 
📌📌📌
Tunapokuwa Hatuwezi Tena Kubadilisha Hali,Tunapewa Changamoto Ya Kujibadilisha Sisi Wenyewe.Lazima Uchukue Jukumu Binafsi.Huwezi Kubadilisha Hali,Misimu,Au Upepo,Lakini Unaweza Kujibadilisha Mwenyewe.Hilo Ni Jambo Ambalo Unalo Mamlaka Nalo.Daima Lenga Juu Zaidi.
 
Back
Top Bottom