myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Maisha huwa magumu zaidi unapotarajia makubwa kutoka watu na kidogo kutoka kwako. Maisha yanakuwa nafuu kidogo unapotarajia mengi kutoka kwako na machache kutoka kwa watu. Viwango vya juu, matarajio madogo
Maisha yapo kwenye kupokea ushauri na maoni ya watu juu ya maisha yako. Wema busara na hekima za maisha ni vitu vya kubadilishana na watu kiungwana.
SawasawaMaisha huwa magumu zaidi unapotarajia makubwa kutoka watu na kidogo kutoka kwako. Maisha yanakuwa nafuu kidogo unapotarajia mengi kutoka kwako na machache kutoka kwa watu. Viwango vya juu, matarajio madogo
SawasawaTabasamu ni dawa mjarabu ya maisha
yenye pilikapilika nyingi
NAKUBALIANA NA WEWESafari pekee muhimu ni ile ya kukufikisha
kwenye kilele cha malengo yako
HILI KWELI KABISASafari pekee muhimu ni ile ya kukufikisha
kwenye kilele cha malengo yako