Like no other kwanza pokea likes 3 hadi 10:49 jua zitapanda tu wengi wako nyuma wajaSpecial talk
Haswaa
acha hyo mambo mkuu mbona nimegonga like apo
Lakini hauna Airport.Unapaa
kipo wapi icho kibandaNakunywa chai na vitumbua hapa kwenye kile kibanda everton walichoingia, vitumbua vya hapa ni noma!
Karibuni...
Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
Pqmoja BossNami nitarudi baada ya kumaliza na hapa nimepania leo kutoa likes 1k+
Nimejifunza mwanadamu dawa ni kumtambua na like is just its expressive remark[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] siwezi,niambie mama
Kaitika wito basi...Na wewe utoe sasa....
Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
NimeonaWengi wapo wanatoa likes post za nyuma kwanza
At 10:53Sijamuona nsamaka siku nyingi!...mzima!?
Town hapa...kipo wapi icho kibanda
Amna nimevikumbuka Tu.Kipenzi umekua konda??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HqhahahaahNakunywa chai na vitumbua hapa kwenye kile kibanda everton walichoingia, vitumbua vya hapa ni noma!
Karibuni...
Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app