Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20250831-WA0021.jpg
 
Nimepata demu lakini simuelewi kabisa
1.hataki hata ndugu zangu wamjue
2.huwa anafanya mawasiliano ya siri kwa kutumia code na lugha tofauti za kimataifa(nitaweka ushahidi)
3.ana pesa sana
4.tulikutana na kuanza uhusiano tulipokuwa kazi maalum.
5.hataki kunipa uhuru wa muda yaani mda wote anataka tuwe wote.
6.analazimisha nichukue likizo bila milipo ya miaka miwili twende nje ya nchi kumbuka kwake pesa siyo shida japo nami najiweza kidogo.
7.aliponichosha ni pale aliponitajia thread zangu nyingi za jamii forum siku ya kwanza tu.
 
Back
Top Bottom