myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
HEKIMA
Hekima haiji kwa kuzeeka tu, inakuja kwa kutafuta na kujifunza
Hekima haiji kwa kuzeeka tu, inakuja kwa kutafuta na kujifunza
Mazingira yanapobadilika, badilika nayo.”
Hekima haiji kwa kuzeeka tu, inakuja kwa kutafuta na kujifunza
Hekima haiji kwa kuzeeka tu, inakuja kwa kutafuta na kujifunza
SawasawaKujua kitu ni jambo moja, kuelewa ni jambo lingine.
SawasawaKujua kitu ni jambo moja, kuelewa ni jambo lingine.
Mpumbavu hujifunza kupitia makosa yake, mwenye hekima hujifunza kupitia makosa ya wengine.
Muda ni mwalimu bora, lakini hatuachi salama.
SawasawaUvumilivu ni ufunguo wa mafanikio
Uvumilivu ni ufunguo wa mafanikio
SawasawaMaisha ni kama mchezo wa chess; kila hatua inahesabiwa.
SawasawaMpumbavu hujifunza kupitia makosa yake, mwenye hekima hujifunza kupitia makosa ya wengine.
Muda ni mwalimu bora, lakini hatuachi salama.
AiseeMaji huyaona mafundo ya kamba
👍👍Kama unataka kwenda haraka, nenda peke yako; kama unataka kufika mbali, nenda na wenzako
Kama unataka kwenda haraka, nenda peke yako; kama unataka kufika mbali, nenda na wenzako
Ni kweli kabisa hiliMaisha ni safari, sio marudio.
Pia kweliHuwezi kubadilisha upepo, lakini unaweza kurekebisha meli yako.”
📌📌📌Huwezi kubadilisha upepo, lakini unaweza kurekebisha meli yako.”
KWELI KABISAUsiogope kushindwa, ogopa kutokujaribu