Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Maneno maneno yapate kibali mbele zako
Likes zangu mbona zimeanza kupaa what is happening you good folks! Thank u for your generosityhali
Where were you? Been looking for you my babeUniq...
Jana alikuwekoJamani nani kamuona ho chi Minh!? Sijamuona siku nyingi...
Just imagine still at 11:39ni dakik 16 sasa zimepita
BeautifulBlacked avatar
La kutonipa likeKwa kosa lipi? lakua na kichwa kichafu?
Na sehemu kubwa tukiwa tumelala fofo Mungu pekee ndiye mkubwaDunia hii mambo mengi yanatokea
Ni kwa maombi na kufungaMaovu yanaitikisa dunia
Aha aha aha ninafuatilia likes kwa ukaribu sanaRutashubanyuma kawa F.B.I 😀😀
KimekaliwaKiti cha mfalme.
Mwaliko wa nyama chomaho chi minh yupo mzee mwenzangu mkarimu sana.
Kila siku anakuulizia zaidi hata ya mara 10.
Maana huwa ana nia njema sana kwenu.
Ila kwa sasa amepata mwaliko kidogo
Bila kutoa likes utavimbiwa na likes maana siachi mtu utoe usitoe utajijua mwenyeweKula likes tapika likes,ukichoka unapaki kupisha wenzio njia.
Like hiyo imekugongaHahahahaa
KandoNaomba baraka zako zisinipite
Kandorehema zako zisinipite
Da Vinci codeda prince.