Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
KabisaaaUwepo wako usinipite
DuhKinyesi sio mwiba lakini ukikikanyaga lazima uchechemee.
Pokea Nondo hiyo mengine yatafuataHata sitaki[emoji23][emoji23][emoji23]uchelewi wewe
Teh! Teh! Teh!Hahahahaha
Asante washapoaPole jamani
Ngoja niingie google kusaka recipe ya matoke yenu
Nikupikie nikutumie
11:47 niko nyuma11:10
KazakhstanKandahar Afghanistan.
Kwa kuumeWewe wajua kuketi kwangu
Ni jemaUmenifahamu wazo langu
TobaaaNafurahi kukuona
Ni nyembambaUmeelewa na njia yangu
Yuko apite?[emoji23][emoji23]au ndo ulikua na mzee wa ikwiriri?saa8 tena usikose[emoji6] [emoji6]
Kabla hujaniumbaEeeeh! Bwana umelifahamu wazo langu toka mbali
Aha aha ahaWakati hela nje nje hata wazee waliitwa babe! hela imekua ngumu wanaitwa wahenga..!!
SijazionaNimeshawapa likes
Hahaha...basi itakuwa mi ndo nimepotea....msalimie...ho chi minh yupo mzee mwenzangu mkarimu sana.
Kila siku anakuulizia zaidi hata ya mara 10.
Maana huwa ana nia njema sana kwenu.
Ila kwa sasa amepata mwaliko kidogo
Hayawi hayawi huwa
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Nafurahi kukuona
NyamaMwaliko wa nyama choma