Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hili sawaKila mafanikio yana gharama lakini kushidwa kufanikiwa kimaisha ni gharama kubwa
Zaidi
Pia lina usahihiIshi Ukiamini Mtu yeyote Anaweza Kukubadilikia Muda wowote saa yoyote bila Kujali Historia yenu.
Kila mafanikio yana gharama lakini kushidwa kufanikiwa kimaisha ni gharama kubwa
Zaidi
Ishi Ukiamini Mtu yeyote Anaweza Kukubadilikia Muda wowote saa yoyote bila Kujali Historia yenu.
Ukiwa mwepesi kusalimu, kusema tafadhali, kusema naomba, kusema asante, kusema samahani, kusema haidhuru na kusema inatosha, utaishi vizuri na yoyote, popote maisha yatakapokupeleka."
Ukiwa mwepesi kusalimu, kusema tafadhali, kusema naomba, kusema asante, kusema samahani, kusema haidhuru na kusema inatosha, utaishi vizuri na yoyote, popote maisha yatakapokupeleka."