myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌
Usipojua unapoelekea huwezi kukosea njia maana njia yoyote itakufikisha popote"
Usipojua unapoelekea huwezi kukosea njia maana njia yoyote itakufikisha popote"
Furaha ya kweli haipo katika kufanana na wengine, bali katika kukua kulingana na kusudi lako.
SawaUsipojua unapoelekea huwezi kukosea njia maana njia yoyote itakufikisha popote"
Katika maisha yako ogopa mambo 3:
Kumpa mtu sababu ya haki ya
kukunung'unikia kwa Mungu wake
Kumwachia mtu kovu au kilema
Kutoa uhai wa mtu.
Ukitenda moja kati ya haya, utaishi maisha ya hofu na utalipwa hapa hapa duniani
Mwenye malengo ni yule anayetambua na kukumbuka kuwa siku fulani nilifanya kitu fulani na siku fulani ya tarehe fulani nitafanya kitu fulani.
Usiache kuwapa heshima wanayostahili, lakini kamwe usiruhusu heshima unayowapa ikufanye mtumwa Kwa kufata kila wanachotaka hadi vile ambavyo moyo wako haupendi.
Usiache kuwapa heshima wanayostahili, lakini kamwe usiruhusu heshima unayowapa ikufanye mtumwa Kwa kufata kila wanachotaka hadi vile ambavyo moyo wako haupendi.
Maisha sio kusubiri upepo utulie, bali ni kujifunza kucheza huku mvua ikinyesha
Kweli kabisaMaisha sio kusubiri upepo utulie, bali ni kujifunza kucheza huku mvua ikinyesha
Mwenye malengo ni yule anayetambua na kukumbuka kuwa siku fulani nilifanya kitu fulani na siku fulani ya tarehe fulani nitafanya kitu fulani.
Unavyoshangilia wenzako wakifanikiwa huku ukisubiria zamu yako ndivyo nawe unavyozid kufunguliwa milango ya mafanikio zaidi maishani mwako, husda na wivu juu yao havijengi..
Unavyoshangilia wenzako wakifanikiwa huku ukisubiria zamu yako ndivyo nawe unavyozid kufunguliwa milango ya mafanikio zaidi maishani mwako, husda na wivu juu yao havijengi..
👍👍Wakati wa kuwaalika watu kwenye huzuni na furaha yako usibague hali ya mtu maana msiba haubagui pa kuingia.
Nidhamu yako lazima iwe kubwa kuliko hisia zako.
📌📌Usipoteze Muda Mwingi kuthibitisha kwa Watu kuwa Una Thamani. Thibitisha kwa Nafsi Yako kwanza, kisha Acha Matunda Yako Yaongee Bila kelele
Maamuzi mabaya ni kama moto, ukiuacha unageuka janga.
Unapogundua kuwa umefanya maamuzi yasiyo sahihi, rekebisha haraka.
Kama msemo usemavyo; “Ukigundua umepanda basi lisilo lenyewe, shuka kituo kinachofuata. Usipofanya hivyo, gharama utakayolipa itakuwa kubwa zaidi."
📌📌📌Maamuzi mabaya ni kama moto, ukiuacha unageuka janga.
Unapogundua kuwa umefanya maamuzi yasiyo sahihi, rekebisha haraka.
Kama msemo usemavyo; “Ukigundua umepanda basi lisilo lenyewe, shuka kituo kinachofuata. Usipofanya hivyo, gharama utakayolipa itakuwa kubwa zaidi."
✔️✔️1.Kuomba msaada si dhambi.
2.Lakini usiufanye kama mtindo wa maisha.
3.Msaada ni wa dharura.
4.Juhudi zako ndiyo mtaji wa kesho.
5.Ukizoea kupewa, utaogopa kujaribu.
✅️✅️1.Kuomba msaada si dhambi.
2.Lakini usiufanye kama mtindo wa maisha.
3.Msaada ni wa dharura.
4.Juhudi zako ndiyo mtaji wa kesho.
5.Ukizoea kupewa, utaogopa kujaribu.
Usiogope kuhusu juhudi zako za kutafuta maisha, hakuna atakayekulisha ukifilisika.
Mradi hufanyi kitu kibaya, usione aibu kutangaza bidhaa zako, huduma zako au kazi yako