myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi njema wadau wa sokoni dukani gengeni saluni na hotelini
Marafiki Ambao Hawawezi Kukusaidia Wakati Una Shida Bado Ni Marafiki Zako. They're Not Fake, Nao Pia Wanapitia Mengi. Huna Haki Ya Kumkasilikia Mtu Ambaye Ameshindwa Kufanya Kile Ambacho Kimekushinda Kufanya
Binadamu ni wasiri sana, Wanaweza kukuonyesha kila siku maisha yao ya kwenye mtandao, ila Usiyajue maisha yao Halisi.
NAKUBALIANADuniani umekuja wewe na mission yako..Kama huamini kunywa Sumu uone kama atakufa jirani.
Ukitaka kufahamu thamani ya uhai wako tembelea wagonjwa hospitalini,wako wenzetu machozi ni sehemu ya maisha yao kila siku,Heshimu kila siku ambayo Mungu amekupa.
Dunia iko katika wakati ambao vitu vinapendwa kuliko watu na watu wanatumika kuliko vitu.