1.Hakuna anayepaswa kukupangia ndoto zako.
2.Hakuna anayepaswa kubeba majukumu yako.
3.Hakuna anayepaswa kukuambia lini uanze.
4.Hakuna anayepaswa kukukumbusha umuhimu wako.
5. Na hakuna atakayehisi maumivu yako kama wewe.
Ps: Maisha yako ni Project Yako Binafsi