Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unapoamka asubuhi maombi muhimu kuomba ni;
1: Mungu akusaidie usidhulumiwe haki yako
2: Mungu akusaidie uwe mwenye hekima na heshima
3: Mungu akupe Amani, Furaha, Afya njema ya mwili na akili hata wakati wa dhiki kuu
4: Mungu akuinulie watu sahihi
5: Mungu akurehemu na kukubariki