Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna nyakati unapitia kipindi cha giza ambapo kila kitu kinaonekana kusimama.
Mipango haifanikiwi, watu wanaokuzunguka wanapotea, na kila siku inajaa changamoto mpya.
Lakini kumbuka, hayo ndiyo majaribu yanayokuandaa kwa ukubwa ulio mbele yako. Endelea kukaza kibishi