Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Japokuwa tunapambana na maisha, kuna wakati tunapaswa kujipongeza maana kila hatua ni ushindi unaostahili heshima.
 
Maamuzi ya leo ni matokeo ya kesho, amua vyema upate mema: japo kukosea ni njia ya kujifunza pia.
 
Ni jambo la kusikitisha kwamba watu wengine hawajali kusikia upande wako wa ukweli, kwa sababu walichosikia kutoka kwa wengine tayari kinawapa sababu ya kukuona kwa mtazamo walioupenda.
 
Unapolitaka jambo kwa dhati, pigania. Usikate tamaa hata kama kila kitu kinaonekana kuwa hakina matumaini. Na pale utakapoanza kupoteza imani, jiulize: ‘Miaka 10 kutoka sasa, nitajuta kwamba sikujaribu mara moja tena?
 
Sisi sote ni watenda dhambi kwa namna yetu. Tunachagua dhambi ambazo tunajihisi huru kuzifanya, kisha tunawahukumu waliotenda zile ambazo sisi hatuzikubali
 
Back
Top Bottom