Kila Ndoto Ina Bei Yake,Na Bei Hiyo Ni Bidii Yako,Uvumilivu Wako Na Imani Yako.Hakuna Kinachokuja Kirahisi,Lakini Kila Tone La Jasho Unalolitoa Leo Litageuka Kuwa Baraka Kesho.
Hekima Inatufundisha Kukaa Kimya Juu Ya Yale Tunayoyasikia Ili Kumpa Mungu Nafasi Ya Kutoa Majibu Yaliyo Sahihi.Ukimya Sio Kilema,Hakikisha Huwapi Nafasi Ya Kukujua.

Mpe Thamani Sana Yule Mtu Ambaye Alikuja Na Taa Kukumulikia Wakati Uko Gizani Na Hakuondoka Mpake Pale Na Wewe Ulipopata Taa Ya Kujiwekea Mwanga Ukiwa Mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.