Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kadiri Unavyolisha Akili Yako Kwa Mawazo Chanya,Ndivyo Unavyoweza Kuvutia Mambo Makubwa Maishani Mwako.Furaha Ya Maisha Yako Inategemea Ubora Wa Mawazo Yako.Inahitajika Kidogo Sana Ili Kufanya Maisha Yawe Na Furaha,Yote Yapo Ndani Yako,Katika Njia Yako Ya Kufikiri.