Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
3.Kuna muda inabidi uchelewe kukipata unachokihitaji ili ukipate kikiwa kamilifu, kimetengemaa na kitadumu kwako
4.Kuna muda inabidi ukipate kwa kiasi kidogo ili kukulinda na athari za uwingi wake
5.Kuna muda kukikosa au kuondoka kwa kitu au mtu unaempenda ndio kinga yako
Katika maisha hakuna kuchelewa ila kuna wakati sahihi na makadirio ya maisha,kwasababu
1.Kuna muda unahitaji kuchelewa kupata unachokihitaji ili ujue thamani yake na gharama ya kukipata ili ukitunze
2.Kuna muda inabidi uchelewe kukipata unachokihitaji ili uepukane na Shari zake
Moyo hutulia mahali kwenye utulivu. So ukipendwa acha vurugu
AiseeKatika maisha hakuna kuchelewa ila kuna wakati sahihi na makadirio ya maisha,kwasababu
1.Kuna muda unahitaji kuchelewa kupata unachokihitaji ili ujue thamani yake na gharama ya kukipata ili ukitunze
2.Kuna muda inabidi uchelewe kukipata unachokihitaji ili uepukane na Shari zake
✔️✔️✔️Moyo hutulia mahali kwenye utulivu. So ukipendwa acha vurugu
Jali San Afya Yako Kwani,Pesa Hutatua Matatizo Lakini Afya Ndio Huamua Ni Muda gani Utafurahia Pesa Zako.
Umaskini Na Roho Mbaya Ni Chuma Na Sumaku..
Sawasawa8.Kufanya vitu unavyovipenda hata kama si vya gharama au vinadharauliwa na watu wengi
9.Kutokuigiza maisha au kujilinganisha na watu wengine
10.Kuheshimu watu wote bila ya kujali umri, jinsia, rangi, hali ya kifedha au ya kisiasa
11.Kuwa sababu ya furaha kwa watu wengine