Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaweza ukawa unajua kila kitu lakini usiweze kufanya kitu chochote, ndio maana wajuzi wa mambo husema maarifa bila vitendo hubaki kuwa njozi. Hivyo basi kuwa mtu wa kufanya vitu kwa vitendo hata kama ni vitu vidogo vidogo na kwa uchache ili iwe rahisi kwako kutimiza ndoto yako
 
Wasiwasi ni hali ya afya ya akili ambayo husababisha mtu kuwa na hofu kupita kiasi,hali hio itaathiri utulivu wa akili na kuathiri utendaji kazi wa mwili. Asilimia kubwa ya watu hupata hali ya wasiwasi kutokana na maumivu waliopitia huko nyuma na wengine hurithi kutoka kwa wazazi
 
Watu wengi huishia kujihukumu wao wenyewe kwa kutofurahia maisha yao, kwa kutokujikubali kwa namna walivyo, wanavyoonekana na wanavyoishi na kuishia kusononeka kutokana na kuyaangalia maisha yao kupitia maisha ya watu wengine na kupima maisha yao kulingana na maneno ya wengine
 
Soma vitabu na kuongeza maarifa ili uweze kutengeneza mawazo chanya mara kwa mara
7.Fanya mazoezi kupunguza hamaki mwilini
8.Fanya mazoezi ya kupumua kwa kukutanuka na kusinyaa kwa tumbo, weka mkono tumbo na kifuani kisha ruhusu pumzi iingie ishikilie kidogo kisha itoe taratibu
 
Pendelea kujisemesha mambo mazuri
2.Pendelea kujitabiria mambo mazuri
3.Ukiona unaanza kuwaza jiimbishe mf. "Mnakuja kuniharibia mood ila leo hamtaweza"
4.Ukiona unaanza kuwaza tafuta shughuli ya kufanya
5.Fanya mazoezi ya kuyakabili mawazo yako kwa kujiuliza maswali
 
Back
Top Bottom