Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye maisha utagundua ya kwamba watu huja na kuondoka kwenye maisha yako, sio kama wote hawakupendi lahasha bali na wao pia wanahitaji kutengana na wewe ili na wao wajenge maisha yao, hapo ndipo utajifunza ya kwamba kuna muda unahitaji kuishi mwenyewe bila ya kuwa mpweke.
 
Usiumizwe na mafanikio ya watu wengine kwasababu haujui wamepambana kiasi gani kuwa hapo walipo, kuna watu mafanikio yao ndiyo yalikuwa chanzo cha kupoteza furaha ya maisha yao, kwasababu mafanikio wameyapata kwa maumivu makali yasiyoelezeka kutokana na siri nzito nyuma yao
 
Kujipenda ni hali ya kujikubali jinsi ulivyo, kujithamini,kujiamini na kujali hisia zako na ustawi wa afya yako ya mwili na akili. Upendo ni dawa ya kupona machungu, kabla ya kusubiri kupendwa na wengine ili uwe sawa basi anza kujipenda wewe mwenyewe ili ujikinge dhidi ya upweke
 
Usipotumia muda wako vizuri kwaajili ya kufanya mambo yako ya msingi, basi watu wengine watautumia muda wako kutimiza malengo yao
 
Unaweza ukawa unajua kila kitu lakini usiweze kufanya kitu chochote, ndio maana wajuzi wa mambo husema maarifa bila vitendo hubaki kuwa njozi. Hivyo basi kuwa mtu wa kufanya vitu kwa vitendo hata kama ni vitu vidogo vidogo na kwa uchache ili iwe rahisi kwako kutimiza ndoto yako
 
Back
Top Bottom