Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
4.Kuwa mwepesi kusamehe, kuachilia na kusonga mbele
5.Kugusa maisha ya wengine kwa kuwasaidia wenye uhitaji na kufanya mambo mema kila siku
6.Kufanya ibada na kuwa mtu mwema
7.Kuwa na malengo halisi yanayo kuhusu wewe na sio yakuwafurahisha watu au kuwakomoa watu wengine
Wakatii Mwingine Hofu yetu kubwa katika kuyaendea mafanikio ni Kuwa na hofu na kukata tamaa..
Wakatii huu tulio nao ni mgumu mno katika Utafutaji pia umekua mgumu kupata na kukosa isiwe sababu ya wewe kukata tamaa Kuwa mvumilivu katika Kila hatua zako Mengine muachie Mungu afanye kazi yake..
Kuna Muda Wale Wanaojaribu Kukushusha Hawaelewi Kuwa Wewe Ni Sehemu Ya Sababu Kwanini Wao Bado Wamesimama