myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍Kuna wakati mambo yanaenda usivyotarajia lakini kitu pekee unapaswa kuwa nacho ni uvumilivu na kuamini katika njia zako..

Kuna wakati mambo yanaenda usivyotarajia lakini kitu pekee unapaswa kuwa nacho ni uvumilivu na kuamini katika njia zako..

Nakubaliana na hiliUsilinganishe Maisha yako na Mtu mwengine Jua na Mwezi havilingani lakini kila kimoja hung'aa wakati wake Ukifika
Kweli kabisaAliyefanikiwa hajakuzidi akili,kakuzidi matumizi ya muda tu!!
SawasawaAliyefanikiwa hajakuzidi akili,kakuzidi matumizi ya muda tu!!

Sikuhizi elimu ya darasani pekeake haisaidii kitu bila kua na elimu ya kiroho pamoja na elimu ya maisha ya mtaani

Usilinganishe Maisha yako na Mtu mwengine Jua na Mwezi havilingani lakini kila kimoja hung'aa wakati wake Ukifika
Maisha bora hayako mbali ila ni vile tu masikini hawana shabaha wala uvumilivu
Msaada una rahisisha leo yako,halafu unakupa kesho ngumu sana!!
Mara nyingi chuki dhidi yetu hupaliliwa na tambo na majivuno yetu hadharani kisha tunalaumu watu na kuwaita 'haters'. Tuwe wanyenyekevu.
Mara nyingi chuki dhidi yetu hupaliliwa na tambo na majivuno yetu hadharani kisha tunalaumu watu na kuwaita 'haters'. Tuwe wanyenyekevu.
Mara nyingi chuki dhidi yetu hupaliliwa na tambo na majivuno yetu hadharani kisha tunalaumu watu na kuwaita 'haters'. Tuwe wanyenyekevu.
Maisha bora hayako mbali ila ni vile tu masikini hawana shabaha wala uvumilivu
Maisha bora hayako mbali ila ni vile tu masikini hawana shabaha wala uvumilivu
Kwa kila mmoja unayemuinua, unainua kizazi. Kwa kila mtu unayemuangusha unaangusha uzao wake. Ukimbadilisha adui kwa wema umeokoa uzao wake