Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

👍👍
Unapoamka asubuhi maombi muhimu kuomba ni;
1: Mungu akusaidie usidhulumiwe haki yako
2: Mungu akusaidie uwe mwenye hekima na heshima
3: Mungu akupe Amani, Furaha, Afya njema ya mwili na akili hata wakati wa dhiki kuu
4: Mungu akuinulie watu sahihi
5: Mungu akurehemu na kukubariki
 
📌📌📌
1.Watu wanabadilika haraka kuliko unavyofikiri.

2.Leo ni wako, kesho ni wa mwingine.

3.Usiweke moyo wako mikononi mwa kila mtu.

4.Wengi hawataki ushinde — wanataka ubaki kama wao.

5.Ukipita walipoishia wao , unageuka tishio
 
✅️✅️✅️

Back
Top Bottom