Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna Muda Wale Wanaojaribu Kukushusha Hawaelewi Kuwa Wewe Ni Sehemu Ya Sababu Kwanini Wao Bado Wamesimama
SawasawaHuwezi kuishi maisha yako kwa ajili ya watu wengine. Lazima ufanye kile ambacho kinafaa kwako, hata ikiwa inaumiza watu fulani.
Huwezi kuishi maisha yako kwa ajili ya watu wengine. Lazima ufanye kile ambacho kinafaa kwako, hata ikiwa inaumiza watu fulani.
Hakuna amani pale umasikini unapokaa mezani.
Wakatii huu tulio nao ni mgumu mno katika Utafutaji pia umekua mgumu kupata na kukosa isiwe sababu ya wewe kukata tamaa Kuwa mvumilivu katika Kila hatua zako Mengine muachie Mungu afanye kazi yake..
Wakatii huu tulio nao ni mgumu mno katika Utafutaji pia umekua mgumu kupata na kukosa isiwe sababu ya wewe kukata tamaa Kuwa mvumilivu katika Kila hatua zako Mengine muachie Mungu afanye kazi yake..
Kweli kabisaKila mtu ana historia yake, wengine wamezaliwa kwenye familia zenye sahani za fedha na wengine sinia.Usiige ya mtu zingatia historia yako
Hatuwezi kuziepuka siku mbaya maishani ila tunaweza kujifunza namna ya kuishi nazo
Usiwe na mipango mingi maana maisha yamejaa mishangao ya kustaajabisha isiotabirika
Usiwe na mipango mingi maana maisha yamejaa mishangao ya kustaajabisha isiotabirika
Epuka kujiona Tajiri ukiwa katika kipindi cha kujitafuta
Hatuwezi kuziepuka siku mbaya maishani ila tunaweza kujifunza namna ya kuishi nazo
Usilinganishe Maisha yako na Mtu mwengine Jua na Mwezi havilingani lakini kila kimoja hung'aa wakati wake Ukifika
Huwezi Jua Uzito Wa Ukimya Hadi Ile Siku Sauti Uliyozoea Kuisikia Itakapoondoka.