Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Fikiria tu una;
1. Mikono miwili inafanya kazi
2. Miguu inatembea
3. Macho yanaona
4. Masikio yanasikia
5. Mapafu yako sawa
6. Ini limenyooka
7. Figo ziko active
8. Unakula bila machine
9. Moyo uko active
Vyote hivyo hakuna kitu unaweza nunua na pesa mshukuru Mungu.
1. Mikono miwili inafanya kazi
2. Miguu inatembea
3. Macho yanaona
4. Masikio yanasikia
5. Mapafu yako sawa
6. Ini limenyooka
7. Figo ziko active
8. Unakula bila machine
9. Moyo uko active
Vyote hivyo hakuna kitu unaweza nunua na pesa mshukuru Mungu.