Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ipo tofauti kati ya Wivu na Matamanio. Wivu unaamsha hisia mbaya, Matamanio yanaamsha hisia nzuri. Ukiona wivu juu ya mafanikio ya mwenzako au ukihisi yako yanaonewa wivu, unaamsha kujihami ama kudhuru. Ukiyatamani unaamsha udadisi, hamasa na shauku ya kuhamasisha wengine.