Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunapishana na fursa kila siku tunapowachukulia poa watu tunaokutana nao kwa mara ya kwanza,kwa kuwadhania hawana manufaa kwetu.Katika maisha utakutana na sehemu ndogo tu ya watu waliopo duniani.Kila unayekutanishwa naye katika maisha iko sababu na liko kusudi.
 
Mapito ndio kipimo cha unyenyekevu, subra, imani, ndoa na marafiki. Tukiupita tunaibuka na uimara ambao hatukuingia nao tulipouanza mpito."
 
Maisha ya wengine hutupa sababu ya kuzungumza, ya wengine hututafakarisha, na ya wengine hutugusa. Wale wa aina ya kwanza huishia midomoni mwetu, wale wa aina ya pili huishia akilini mwetu, na wale wa aina ya tatu huingia hadi mioyoni mwetu."
 
Back
Top Bottom