Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mtazamo wako juu ya kitu au hali fulani unaweza kuathiri tabia na vitendo vyako. Kuwa na mtazamo chanya kutakufanya upate matokea mazuri. Tabia ya kunung'unika inaweza kuathiri matokeo ya unachokifanya