Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unatakiwa kuyaendesha maisha na sio maisha yakuendeshe. Hivyo hivyo kwenye mahusiano usikubali kupelekeshwa.
Ni sawa na kusema. Kisasi ni haki. Tumalizane hapa hapa duniani.Kama una uweza kujipigania fanya hivyo acha tabia ya Kusema unamwachia Mungu kila jambo hata yale ambayo yapo ndani ya uwezo wako. kumbuka wewe umepewa nguvu na akili ili ivitumie katika Kutatua changamoto utakazo Kutana nazo.