Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabla hujakemea mapepo anza kukemea uvivu, uzembe, kusitisha mipango, kupuuza mambo muhimu, kukosa nidhamu , na ujinga mwingine ulionao.

Shetani tunamsingiziaga sana
 
Mtu mwenye akili akikwambia jambo huku akijua ni la kipumbavu na wewe ukalikubali anakudharau. Mwl JK Nyerere
 
Usijilaumu kwa kutokujua baadhi ya mambo wala usjione mjinga kwa kutokujua kila kitu.
 
Sio lazima ubishane na kila mtu kila wakati. Kukaa kimya na kumuacha mtu ajione mshindi itakuacha na amani zaidi.
 
Usifikirie sana juu ya mapungufu ya mtu, utashindwa kufurahia maisha. Hakuna aliekamilka huyo bikira anaweza kuwa toxic mpaka ukapata sonona
 
Kamwe Usiruhusu yeyote yule akakurudisha tena nyuma katika level ambayo ulishaivuka siku nyingi Sana
 
punguza kuwa available kila muda kwa watu wanakuchulia kama shabiki yao au mtu waziada tu jipende si unaona hata ww usipowatafuta hawakutafuti na wakikutafuta ujue wamiss kukutumia,jitathimini jiwekee mipaka jijali thamini unapothaminiwa tu wanawatafuta wanaowapenda
 
Unalala kitandani usiku wa leo, lakini kuna mtu atalala kwenye sakafu , una lalamika kipato Chako ni kidogo lakini kuna mtu atalala njaa leo. Kabla ya kuanza kulalamika kuhusu Maisha yako kumbuka kuna mtu mwingine anatamani muujiza apate vile ulivyo navyo. Mshukuru MUNGU kwa yote
 
Nyakati zikifika lengo lako litatimia usiwaze kwa sasa endelea kukaza ulipo.
 
Najua maisha hayajawa mepesi kwako kwa sasa lakini kumbuka, kila jambo lina majira yake Hakuna dhoruba isiyoisha. Wewe ni mwenye nguvu kuliko unavyofikiri na haya unayopitia ni daraja la mafanikio yako ya kesho. Endelea kuwa na imani, usikate tamaa Mungu haachi mtu wake.
 
Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo, huwa dhalimu katika lililo kubwa pia”
 
Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo, huwa dhalimu katika lililo kubwa pia”
 
Kumwamini mtu ni kama kumkabidhi Bunduki, Anaweza kukupiga risasi ama Kukulinda.
 
Mambo yanavyozidi kwenda, ndio uhalisia unaanza kuingia moyoni mwako..
 
Hakuna kitu kinachowafanya watu wawe wanyenyekevu kama muda na umri..
 
Hakuna ugonjwa mbaya kama hofu,haumalizi akili tu bali unaharibu mpaka nguvu kazi na kukupa utahira wa muda!!
 
Back
Top Bottom