punguza kuwa available kila muda kwa watu wanakuchulia kama shabiki yao au mtu waziada tu jipende si unaona hata ww usipowatafuta hawakutafuti na wakikutafuta ujue wamiss kukutumia,jitathimini jiwekee mipaka jijali thamini unapothaminiwa tu wanawatafuta wanaowapenda
Unalala kitandani usiku wa leo, lakini kuna mtu atalala kwenye sakafu , una lalamika kipato Chako ni kidogo lakini kuna mtu atalala njaa leo. Kabla ya kuanza kulalamika kuhusu Maisha yako kumbuka kuna mtu mwingine anatamani muujiza apate vile ulivyo navyo. Mshukuru MUNGU kwa yote
Najua maisha hayajawa mepesi kwako kwa sasa lakini kumbuka, kila jambo lina majira yake Hakuna dhoruba isiyoisha. Wewe ni mwenye nguvu kuliko unavyofikiri na haya unayopitia ni daraja la mafanikio yako ya kesho. Endelea kuwa na imani, usikate tamaa Mungu haachi mtu wake.
Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo, huwa dhalimu katika lililo kubwa pia”
Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo, huwa dhalimu katika lililo kubwa pia”