Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawasawaMaisha huzunguka, na magurudumu ya dunia hayakai sehemu moja, leo ni wao kesho ni wewe.
SawasawaKwenye kila hatua ya maisha ukweli huleta faraja
✅️✅️Kwenye kila hatua ya maisha ukweli huleta faraja
NakubalianaUkarimu ni mbegu ya baraka, unapo panda kwa wengine huotesha matunda ya amani na furaha kwako.
SawasawaUkarimu ni mbegu ya baraka, unapo panda kwa wengine huotesha matunda ya amani na furaha kwako.
✔️✔️Ukarimu ni mbegu ya baraka, unapo panda kwa wengine huotesha matunda ya amani na furaha kwako.
👍👍Siri ya amani ya moyo ni kuridhika na ulichonacho huku ukifanyia kazi unachokitaka
📌📌Siri ya amani ya moyo ni kuridhika na ulichonacho huku ukifanyia kazi unachokitaka