myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππKuwa karibu na wale watu watakao kukumbusha kila mara juu ya Mwenyezi Mungu wako. Watu kama hao ni Wathamani sana, usiwaache kamwe. Ni marafiki wako wa kweli.
Punguza kufanya vitu kadri ya uwezo wako, jifunze kufanya kadri inavyo hitajika..
Kitendo cha kutafuta hadi kupata ni kitendo chenye mchakato mrefu sana wenye mambo mengi lakini kitendo cha kupoteza ni cha sekunde chache mno.

Samahani ni neno lenye nguvu ya kuweza kubadili chuki,hasira na vurugu kuwa utulivu ,kicheko na amani,kusema samahani ulipokosea ni kiwango cha juu cha hekima.
Maisha ni haya haya na hapo ulipo, na wala usiruhusu huzuni, wasiwasi na msongo wa mawazo kutawala akili yako na kudhoofisha hisia zako.
SawasawaHuwezi kufanikiwa kwa kumchukia aliyekuzidi mafanikio, Jifunze kujitafutia au kujitegemea ili uepukane na Chuki na roho mbaya
Ishi kwa amani na fanya mazoezi ya utulivu, weka akili sawa na pia ongeza uwelewa kuhusu changamoto unazopitia na zitafutie majibu sahihi

SawasawaHakikisha heshima na uaminifu ndio vinaelezea utu wako.
Kuwa na tabia ya kuandika malengo yako, alafu yapitie kila wakati na uyafanyie kazi
Onyesha mtazamo na msimamo wako, lakini uwe na uvumilivu na kuheshimu ya wengine.
Kamwe usijute kwa kitu chochote, jifunze kutokana na kila kitu.