Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

📌📌📌
Daima usijipendekeze kwa watu wasiojua thamani yako. Jisogeze kwa watu wanaoijua thamani yako.. "

Anaejua thamani yako, atakuthamini.. Usijilazimishe kukaa na wasiokuthamini.. Usijilazimishe kuishi usipopendwa.."
Tambua thamani yako ndugu yangu.
 
✔️✔️✔️

👍👍👍

SAWASAWA
Linda amani yako, Jali afya yako, Tembea kwenye njia yako, usiweke kila kitu mtandaoni, fanya kazi kwa bidii kimya kimya, Fanya mazoezi ya mwili wako, ulishe vizuri, weka akiba ya fedha zako, na ufurahie maisha unayoyajenga. Hakuna mtu anayekuja kukusaidia
 
Muhimu

Back
Top Bottom