myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍👍👍Mwanasheria machachari ni yule anayeijua sheria vizuri lakini wakili mwenye busara ni yule anaemjua vema mtoa hukumu
👍👍👍👍Mwanasheria machachari ni yule anayeijua sheria vizuri lakini wakili mwenye busara ni yule anaemjua vema mtoa hukumu
✅️✅️Mwanasheria machachari ni yule anayeijua sheria vizuri lakini wakili mwenye busara ni yule anaemjua vema mtoa hukumu
✔️✔️✔️Ukitaka Kutambua Thamani Ya Ulichonacho Angalia Idadi Ya Wanaokitafuta.
SawaKila changamoto ni fursa ya kukua, na kila siku mpya ni nafasi ya kuandika ukurasa bora zaidi wa maisha yako.
📌📌📌Kwanza tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela. Katika kupitia hatua hizi ni lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.” - Ruge Mutahaba