Kujidanganya na kutojiheshimu.
Utajidangaya unaendelea vizuri,
kumbe ukweli unaujua.
Jidanganye kuwa utafanya kesho,
ingali ukweli unaujua.
Kwa bahati nzuri tunapimwa kwa kipimo kile kile.
Ukiweka msuli kisoda,
utapata matokeo kisoda.
Ukweli unaujua mwenyewe.