Alisikika mtu mmoja katikati ya umati uliokuwa mbele ya Mfalme akisema kuwa kuna siku yeye ndiye atakayekuwa Mfalme,
basi umati wote ule uliangua vicheko isipokuwa mfalme pekee.”
“Sio kila tunachokitarajia kinakuja kama tunavyotaka. Lakini sisi tuna yakini kwamba Mwenyezi Mungu anatuhifadhia yale yaliyo mazuri zaidi, kwenye muda ulio sahihi.”
Ogopa sana kuwa ng’ombe wa mwishoni kisimani, utakunywa maji machafu.
Ogopa kuwa ng’ombe wa mwanzo, utakufa mishale ikirushwa.
Zaidi ya yote, ogopa sana kuwa ng’ombe sababu kivyovyote vile utachinjwa.”
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.