Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,201 Kupaa ni uhuru wa kila mwenye mabawa, ila daima ndege anaefugwa hudhani wanaopaa nje wanafanya makosa.”
Kupaa ni uhuru wa kila mwenye mabawa, ila daima ndege anaefugwa hudhani wanaopaa nje wanafanya makosa.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,202 Kutamani kuwa kama fulani ni rahisi sana Ila kulipa gharama ili uwe huyo mtu ni hadithi usiyopenda kuisikia.
Kutamani kuwa kama fulani ni rahisi sana Ila kulipa gharama ili uwe huyo mtu ni hadithi usiyopenda kuisikia.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,203 Utafutaji Unatufanya Tuonekane Hatuwajali Wala Kuwapenda watu Wetu wa Karibu.Kuna MUDA Inabidi Tuzikubali Hizo Lawama ili Malengo Yatimie kwanza.
Utafutaji Unatufanya Tuonekane Hatuwajali Wala Kuwapenda watu Wetu wa Karibu.Kuna MUDA Inabidi Tuzikubali Hizo Lawama ili Malengo Yatimie kwanza.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,204 Kuna umri ukifika,lazima udhibiti mdomo wako, mawazo yako, hisia zako na matumizi ya pesa zako
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,205 Ukikosa kusema HAPANA, dunia haitaacha kukutumia vibaya.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,206 Waongo wawili wakipendana ni ukweli tu ndiyo unaoweza kuwa tenganisha.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,207 Kama uzi usingekuwepo ndani ya mshumaa, basi mshumaa usingeungua. Hivyo hivyo sisi hatuwezi kuunguzwa na yeyote ila yule ambaye ameingia ndani ya mioyo yetu.”
Kama uzi usingekuwepo ndani ya mshumaa, basi mshumaa usingeungua. Hivyo hivyo sisi hatuwezi kuunguzwa na yeyote ila yule ambaye ameingia ndani ya mioyo yetu.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,208 Fimbo iliyotumika kumuua nyoka haiwekwi sebuleni.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,209 “I am a slow walker, but I never walk back.”— Abraham Lincoln
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,210 Ndoa si safari ya mbali; ukiwa na haraka unaweza ukaenda leo na kesho ukarudi.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,211 Kuiba ngoma ya kijiji ni jambo rahisi; changamoto itakuwa kupata mahali pa kuipiga kwa amani.” - Pete Edochie
Kuiba ngoma ya kijiji ni jambo rahisi; changamoto itakuwa kupata mahali pa kuipiga kwa amani.” - Pete Edochie
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,212 Maisha halisi ndiyo maisha rahisi.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,213 Ukihitaji kuruka umbali mrefu, itakubidi urudi nyuma sana.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,214 Hii dunia ya sasa kuishi na watu vizuri ndiyo vibaya.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,215 Chumba ni kimoja usichanganywe na vitasa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,216 Ubora wa watu wanaokuzunguka ni muhimu zaidi kuliko idadi yao.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,217 Mfundishe kijana wako kazi za nyumbani, ili kesho aoe mke si mtumwa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,218 Mfundishe binti yako nidhamu ya pesa, ili kesho aolewe na mume si mhasibu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,219 Wafundishe kuhusu makosa na msamaha, ili kesho wajue wanaenda kuishi na binadamu si malaika.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 26, 2026 #1,534,220 Wakati mwingine wale uliowasaidia sana kuliko wengine ndiyo wanaofanya juhudi kubwa ya kuwaeleza watu kuwa wewe ni mtu mbaya.”
Wakati mwingine wale uliowasaidia sana kuliko wengine ndiyo wanaofanya juhudi kubwa ya kuwaeleza watu kuwa wewe ni mtu mbaya.”