moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
@ningendako
Nipo mkuu
Habari za siku nyingi mremboAbee
Ni Shimba ya BuyenzeSimba ya Buyenze
Ni Nigendako@ningendako
Yko wapi huyu mwamba
No idea,Yko wapi huyu mwamba
Njema kabisa,aisee Toka niunge jf hii Leo ni mara ya kwanza kucomment Uzi huu🤣,Habari za siku nyingi mrembo
Uzi janja sana huu, piga kambi hapa ukutane na wazee wa kutania na kuchekesha, utafurahi sana hapa kuliko popote🤣Njema kabisa,aisee Toka niunge jf hii Leo ni mara ya kwanza kucomment Uzi huu🤣,
Eeeh😁,Uzi wa wazee🏃Uzi janja sana huu, piga kambi hapa ukutane na wazee wa kutania na kuchekesha, utafurahi sana hapa kuliko popote🤣
Utakutana na mwamba andjul antimatter , Mzee liver , kijana mpole Cole Williams , Kichwa Kichafu, carbamazepine, Numbisa , myoyambendi Shimba ya Buyenze na wengine wengi
Walikuwa vijana lakini wamezeekea hapa😂Eeeh😁,Uzi wa wazee🏃
🤣🤣🤣🤣🤣,nawe umezeeka?Walikuwa vijana lakini wamezeekea hapa😂