The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,013
Mnakimbiza uzi balaa
Mmmhh[emoji124] [emoji124] [emoji124]Shimo wamenichimbia mie watatumbukia wenyewe.
MtaaniYupo[emoji3]
Brother mkubwa habariPongezi kwenu
Kuna mhenga mmoja anaitwa Ruta... Naona ananitafuta na jumapili hiiUkiona hivyo kuna mtu kamuona anamsifia babe S[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fursa sawa kwa woteKwamba nimekuruhusu?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Boody fightsBlue blood
Tumeliona hili tunaendelea kukumbushana kulike ndio lengo la Uzi huuNaona watu hawa like kabisa
KK leo ni mwendo wa gospo tu sijui kimemkuta kipi mana si kawaidaWatu wana zengea zizi langu sana kuna jamaa kaja asubuhi anachombeza. Ikabidi Mama aniambie umemuona huyo?? Nikamuambia KK atakuwa kamtuma.
Credits to the originatorsOriginals
Yupo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aisee nlikumic mkuu
Hahahahaha weka lindoKwahiyo ukiachiwa kidogo unachepuka
Asante sanaPole sana shem
Tulirudi salama kabisa.Ila shem naomba nikuulize jana mlirudi salama na mzee wa ikwiriri?mana hizi gospo za leo mmmh
Is not just a movieTrue blood
Kwetu soteAmina
R.I.PHuyu mama, kamuuguza mume mpaka kapona! Yeye! Duh!Rip Linah
Karibu sanaAiseee......sawa mkuu