God iz bae
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 527
- 1,086
[emoji16][emoji16]nilifunkwa machoNani huyo alikuteka mbona unanishtua tena. [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16]nilifunkwa machoNani huyo alikuteka mbona unanishtua tena. [emoji23] [emoji23]
Carba nilisha kuambia nitabisha mpaka nikuoneUmekosea mimi a[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu kaiba password yake kwakweliUmeonaeee KK kuna mtu kaiba simu yake
Post za leoAisee Nina siku tatu nagonga likes kila post labda ziwe chache
Ni kweli mkui majukumu yakizidi ni shidaMajukumu yalikua mengi.
Ndo mana leo uko hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]andjul kichwa kapotea jamani[emoji23][emoji23][emoji23]huyu wa leo si yeyeGod iz bae ila uliniacha mpweke humu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ameeeeeeeen[emoji120]Mungu ni wakushukuriwa kwakweli
Mapumziko memaMda wa kutulia na Ukhuty na kutafakari kesho yetu.
[emoji23] [emoji23] me nakwambia ukweli ujueCarba nilisha kuambia nitabisha mpaka nikuone
Au kuna mtu kamchukua GeJo sasa kaona amrudie MunguKuna mtu kaiba password yake kwakweli
IlivyoNaona kama maono kumbe ndivyo