cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Ulicho kifanya unakijua unaingia sehemu sizoDuh kafanya nini
KK leo ni mwendo wa gospo tu sijui kimemkuta kipi mana si kawaida
Andjul na CarbaaHuna lolote,ufukunyuku umekujaa
Am waiting 4 uNkirud awil tell u
Kumbe wewe ndo umemfanya hivi kichwa eeh?[emoji23][emoji23][emoji23]
Isije kuwa mambo ya Sumbawanga,mtu kateguliwa kiungo
HahahhahahaNimeamua kushikamana,zizi langu limejengwa kwa mashina ya mchicha.Wengine mazizi yenu ni ya machuma chuma
Kwamba yeye muonekano wake upi!!!????
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeamua kushikamana,zizi langu limejengwa kwa mashina ya mchicha.Wengine mazizi yenu ni ya machuma chuma