mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Like kama Uzi huu
Duh huyu mhubiriTANGAZO! TANGAZO! TANGAZO
KWA YEYOTE ALIEMUONA KICHWA KICHAFU TAFADHALI NAOMBA AMWAMBIE TUNAMTAFUTA HUYU WA LEO SI YEYE[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniii,dondokea hapa jirani,kwani umevaa sketi??Nitaenda kudondoka nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23]
Usimwamini kiumbe bali Muumba wa vyoteJibu si kulaumu mwamini Mungu ndio jibu lako
AMUN RAAsante sana jembekilo kwa Uzi huu
Ohooooo,tutateguana viungo sasa...Nafikiri itakuwa yangu
The chosen oneThe choosen one hi
YupWanasafiri na kurudi
Mimi hata sikumbuki niliingia lini na ilikuaje,ila ninachoshukuru nimepata marafiki japo hatujuani and am happy here...mbarikiwe nyote mana nimekua ni mwenye furaha mara zote nikiwa humu...nawapenda nyote[emoji8][emoji8][emoji8]uzi una siku 30.
Ulianzishwa: 16/06/2017
Leo ni: 16/07/2017
Celebration kwa uzi.
Tuambie story fupi uliingia vipi humu.
Yangu naileta soon hapa.
Mwendo mdundo mbele daima
UtarejeshewaHahijarishi wewe ni mjane wamekunyang'anya mali
Unadunda tuKwani moyo una mfupa?