mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kheri yetuHahahahaha nimekupata mku
Coco kama ilivyo ada nimeenda mpendwa na neno nimelifanyia kazi ipasavyo.
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
Good ideauzi una siku 30.
Ulianzishwa: 16/06/2017
Leo ni: 16/07/2017
Celebration kwa uzi.
Tuambie story fupi uliingia vipi humu.
Yangu naileta soon hapa.
Mwendo mdundo mbele daima
Very cleverKingUnaweza ukawa tajiri na ukakodisha dereva akuendeshe kwenye gari lako la kifahari,lakini huwezi kumkodisha mtu akushikie au augue ugonjwa badala yako,afya ndio utajiri mshukuru Mungu kwa neema zake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa na mchina walikuwa hawajui,naye ISIS kila wakiongea nae alikuwa anajibu kwa mapicha picha yenye maana tofauti kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HaaaaaaHahahaha
Rambirambi nachangisha mimi[emoji23][emoji23]Mwakyembe wife no more please send your condolences now
Pamoja mkuuAsanteni sana wadau wa Uzi huu
Hayapaswi kama zigo unmtupia Mtetezi aliyehaiKweli mapito yanavunja moyo
Nice oneMimi hata sikumbuki niliingia lini na ilikuaje,ila ninachoshukuru nimepata marafiki japo hatujuani and am happy here...mbarikiwe nyote mana nimekua ni mwenye furaha mara zote nikiwa humu...nawapenda nyote[emoji8][emoji8][emoji8]