mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
SanaKuzuri huko
KabisaChanda chema huvikwa pete
Bwana atakuongezea karamaAdui aangukapo, mnyanyue
With secretsDiaries
Mawingu yapo kila SikuDalili ya mvua mawingu
Madawa ya kutosha hukoCocaine
Umande ndio mzuriHeri ya mvua kuliko umande.
Ni mwendo wa shali tuKheri nusu shari kama shari kamili.
Hakuna awezaye kufikaIko juu
Wewe acha hizo dawa ya baridi ni niniDawa ya moto ni moto
MasharikiKaskazini
Wazima kabisaWazima humu?