Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kama ikitunzwa vizuriAkiba haiozi
Kama ikitunzwa vizuriAkiba haiozi
MshaleNdizi
Mwenda pole hajikwaiAjidhaniaye amesimama, aangalie asianguke
Asipolilipa imekula kwakeAhadi ni deni
Jamaaa hatari na ameshinda kwenye huu UziRutashubanyuma.. Usiku wa kuamkia leo umelala na viatu maana nilikukimbiza si kitoto.
ISISEagle
Ukistaajabu ya USA utaona ya IranAfadhali ya Mussa kuliko Firauni
PendwaNitakipenda
Hana mwingineAdui wa mtu ni mtu
Karibu tena....Niliitwa na Babe S humu ndani. Asante Mpenzi
NiceEeeeeeh
Wengi mlitaka kuniletea za huko kwenye siasa
Nikawezana nanyi
Kaka wa uzi
Ma mie dada wa uzi
Ha ha haaaaaa
Ila bado wewe ni mdogo wangu eeeeeeeeeeh
Ustaarabu kitu kidogo sana katika maisha ya dunia jaribu hata hicho kukipata.Kumamayo
Tena mlete karibuAdui mpende
West HamArsenal
Nyumbani ni nyumbani
Hahahaha unaweza kuwa mkojo piaCha mtu mavi
NimekukubaliKwa kweli