Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaaaa cocochanel mchokozi...ila ulivyo kuja uliipiga ya kichama,wakashituka aaaaaaah!!! Ukabadilika kabisa,nikakuomba msamaha kwa jinsi nilivyokuwa nakuchukia kule siasani,tukayamaliza mpaka leo ni baba na mama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (yaani wewe ni ke Mimi ni me).ISIS kwa lugha yake ngumu kule siasani nikamwita Me,weeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nadhani hadi Numbisa alishangaa kujua kuwa ISIS ni ke... Hakika tuna cha kujivunia sana


Eeeeeeh

Wengi mlitaka kuniletea za huko kwenye siasa

Nikawezana nanyi

Kaka wa uzi

Ma mie dada wa uzi

Ha ha haaaaaa

Ila bado wewe ni mdogo wangu eeeeeeeeeeh
 
IMG_2402.JPG
 
Back
Top Bottom